Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
Kwa hiyo ku summarize ulichosema ni kwamba there is lack of innovation and proper market research?Mkuu Freelancer biashara nyingi Afrika zinakufa mwaka mmoja baada ya uanzishwaji na nyingine miaka mitano. Wajasiriamali wengi wanafata mkumbo wakati wa kuanzisha badala ya kufanya tathmini, wanakutana na changamoto nyingi ndani ya biashara ambazo kama wangekua makini wangeziona kabla hata ya kuanza biashara yenyewe. Mwingine anauliza biashara gani inalipa kwa sasa bila kua na uelewa au ubunifu wowote kwenye biashara husika anaingia mzima. Peak ya biashara ikishuka ni ngumu sana kwa muhusika kubaki kwenye biashara kama hakutengeneza mpango wa kubaki.
Asante mkuu. Very informative. Ngoja nipate mawazo zaidiJapokuwa wajasiriamali tupo wengi ila naamini vijana tunapata ugumu ktk nmitaji zaidi kuliko MASOKO kwani vijana tunajikuta tunaendesha kampuni zinazozalisha unga,lkn hata kama una mtaji mdogo lkn benki haziwezi kukukopesha g mpaka waone umeweza kuendesha kampuni kwa miaka 2 au hata zaidi ss hawatusaidiii kwa hiyo tanzania imeshindwa kusaidia vijana labda tujisaidie wenyewe lkn hoi ndio inapunguza sana ajira nchini haswa tanzania /hapa nyumbani lkn serikali ikiweka mazingira mazuri vijana tutanufaoika sana..mwaka 2015/2020 .
Tatizo la masoko. Wajasiliamali kugombania wateja waliopo. Kingine sera mbovu za nchi. Unakuta nchini bidhaa kama mahindi hayanunuliki wakati nchi jirani wanahitaji kwa bei nzuri, lakini wajasiliamali wanazuiliwa kwenda kuuza nje ya nchi
Mfano ukiamua kuusaga unga kisha ukaupaki kabisa. Bado utazuiwa kuusafirisha nje?
Afadhali umekuja mdau. Naomba unipe mtiririko wake. Ku xport inategemea unapeleka nchi gani. Kuna nchi kama South Africa ni ngumu sana.Ila siajua nchi kama Zambia au Malawi kama na kwenyewe ni kugumu hivyo hivyo. Kenya na Ethiopia wana upungufu wa chakula sidhani kama kuna kwere sana kupeleka huko. Ile niiltaka kujua vibali kwa upande wa TZ vinapatikanaje?Kuna vitu wanaita Import permit kutoka kule unapotaka kupeleka, export permit toka Tanzania, na inspection permit. To get all these is not a Joke