changamoto

changamoto

materu74

Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
10
Reaction score
0
napenda kujua neno'kaa vizuri' kwa wanawake linaimanisha nini?! Kwa sababu mchana ukimwambia mwanamke kaa vizuri anabana miguu! Lakini usiku ukimwambia kaa vizuri anapanua miguu!
 
Raha kweli kufikiri kwa masaburi hasa yanapokuwa madogo kama nukta. Hongera umejishindia tuzo ya kutumia masaburi kufikiri kwa mwaka huu na ujao.
 
Una mawazo mazur na ynye uwezo wko,ingawa wapo wanaohsi hauko sahihi.poa bna.
 
napenda kujua neno'kaa vizuri' kwa wanawake linaimanisha nini?! Kwa sababu mchana ukimwambia mwanamke kaa vizuri anabana miguu! Lakini usiku ukimwambia kaa vizuri anapanua miguu!

Karibu sana jamvini. cku nyingine uwe unabisha hodi cyo unaingia kichwa kichwa maeneo ya wa2 haya wasije wakakuDAVID KAMERUNI.
 
Yaani unafika tu na stori za ajabu ajabu!

Hebu amkia kwanza wakongwe wa humu JF; anyway, karibu jamvini materu74

Yaonyeosha wapenda shikamoo sn,ok shika hiyo moo bac.pia kaka vya ajabu ajabu vinasaidia
 
Hilo neno nafikiri linategemea mazingira uliyopo na huyu mwanamke kama mwenyewe ulivyoanisha kuwa mchana linaeleweka vingine na usiku vile vile. Ni kama mfano wa kumwambia mwana ndoa, uwe mwaminifu ataelewa kuwa asitembee nje ya ndoa, lakini akiwa kazini na kama kazi yake ni mhasibu ukamwambia kuwa mwaminifu atakuelewa kuwa anatakiwa kutokuiba pesa za kampuni.
Ni kusoma nyakati tu dogo ....
 
Karibu sana jamvini. cku nyingine uwe unabisha hodi cyo unaingia kichwa kichwa maeneo ya wa2 haya wasije wakakuDAVID KAMERUNI.
kaka unaonyesha kwa wa2 kwamba wewe ni muoga kukameruniwa huo co ujanja,miaka nenda rudi 2nakameruniwa hatusemi leo ndio mnaona ishu?
 
Hilo neno nafikiri linategemea mazingira uliyopo na huyu mwanamke kama mwenyewe ulivyoanisha kuwa mchana linaeleweka vingine na usiku vile vile. Ni kama mfano wa kumwambia mwana ndoa, uwe mwaminifu ataelewa kuwa asitembee nje ya ndoa, lakini akiwa kazini na kama kazi yake ni mhasibu ukamwambia kuwa mwaminifu atakuelewa kuwa anatakiwa kutokuiba pesa za kampuni.
Ni kusoma nyakati tu dogo ....
kaka nimekukubali
 
thread nyingine bana, unafungua kwa spiiiidi halafu unakuta ndivyo sivyo
 
Inategemea na wakati unapomuambia hivyo!
 
kaka unaonyesha kwa wa2 kwamba wewe ni muoga kukameruniwa huo co ujanja,miaka nenda rudi 2nakameruniwa hatusemi leo ndio mnaona ishu?

heee! is that soo?!!!!:shock:
 
kaka unaonyesha kwa wa2 kwamba wewe ni muoga kukameruniwa huo co ujanja,miaka nenda rudi 2nakameruniwa hatusemi leo ndio mnaona ishu?

Hongera!! naona unajitahidi kuongeza rep. power!! huo ndio ujanja! wongo? tehtehteh....... nakukumbusha tena siku nyingine ubishe hodi ndio 2takuona mjanja zaidi.
 
hahaha dah! Umenifumbua macho kuhusu huu usemi. Nalog off
 
Back
Top Bottom