Changamoto!!!...

Changamoto!!!...

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,935
Reaction score
3,346
wadau kuna hili neno ambalo linashika umaarufu kwa kasi ''CHANGAMOTO'' licha ya kuwa nalitumia lkn sijapata maana yake, wadau naombeni msaada juu ya maana halisi ya neno hilo
 
Changamoto ni kile waingereza wanachokiita "challenge".

Na ni neno lililotumika kwa siku nyingi sana, wala si kiswahili cha Mkapa.
 
Back
Top Bottom