JoJiPoJi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 2,935 Reaction score 3,346 Sep 2, 2009 #1 wadau kuna hili neno ambalo linashika umaarufu kwa kasi ''CHANGAMOTO'' licha ya kuwa nalitumia lkn sijapata maana yake, wadau naombeni msaada juu ya maana halisi ya neno hilo
wadau kuna hili neno ambalo linashika umaarufu kwa kasi ''CHANGAMOTO'' licha ya kuwa nalitumia lkn sijapata maana yake, wadau naombeni msaada juu ya maana halisi ya neno hilo
Bluray JF-Expert Member Joined Mar 25, 2008 Posts 3,449 Reaction score 137 Sep 2, 2009 #2 Changamoto ni kile waingereza wanachokiita "challenge". Na ni neno lililotumika kwa siku nyingi sana, wala si kiswahili cha Mkapa.
Changamoto ni kile waingereza wanachokiita "challenge". Na ni neno lililotumika kwa siku nyingi sana, wala si kiswahili cha Mkapa.