Ibrah james
New Member
- Jul 20, 2021
- 4
- 3
Umeelewa kweli alichokisema?Fuatilia Bajeti zinazotumika kutengeneza hayo magemu, Bajeti ya Marketing usiingize.
Fafanua vizuri..unalipwaje kiasi gani kwa muda gani?Vijana mnaofanya gaming kwenye simu mnaweza kuingiza pesa kupitia gameplay zenu , anzeni livestream kujipatia pesa
Games include , PUBG MOBILE. CALL OF DUTY, APEX LEGENDS na mengine tumia vizur enjoyment yakoView attachment 2340099View attachment 2340105View attachment 2340104
nimekuelewaUmeelewa kweli alichokisema?
Amekupa Sasa pa kuanzia Kama una nia utachimba mbona Kama Ni demu mzuri kwako unatumia mbinu za kivita mpaka unajua anapokaa anajishughulisha na Nini mpaka mtu wake wa zamani. Viwanja vyake anavyopendelea. Yaani Mambo ya msingi tutafuniwe Ila ya starehe mzee ubongo unakuwa na nguvu kinyama kuitafuta.Fafanua basi acha uchoyo.