Changez za mfumo wa music Clouds fm.

Iqraa

New Member
Joined
Nov 11, 2008
Posts
3
Reaction score
1
Mi nadhani mabadiliko ya playlist clouds FM yana mvuto zaidi kwa wasikilizaji sijui wadau mnasemaje....manake ukilinganisha na kipindi cha nyuma kidogo ukwlei ni kwamba ilipoteza muelekeo kabisa ila atleast kwa sasa waweza kusiki hata nyimbo ambazo hutarajii kuzisikia kirahisi..
 

nadhani tafuta muda uelezee vizuri mimi hata sijakuelewa? may be kwakuwa sisikilizi hii station mara nyingi, lakini nahisi ujumbe haujajitosheleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…