Changia CHADEMA TONE TONE. Nimo, umo, tumo

Changia CHADEMA TONE TONE. Nimo, umo, tumo

Wow, ubunifu ni mzuri sana Hongera sana Chadema kwa kuingia huku...

Hapo naomba niweke ushauri wangu,
Hii video imekuwa ndefu mno na kulikuwa na uwezo wa kuifanya fupi na ikawasilisha ujumbe.
Chama chetu kina wataamu wazuri wa kushauri vyema naamini wanaweza kunielewa au hata kunikosoa zaidi ili tuweze kujenga pamoja.
#muhimu kila Mtanzania kwa sasa achangie alichonacho ili kufanikisha shughuli za chama kupitia kampeni ya tone tone 🙏🙏
 
Halafu pesa hizo hizo za tone tone mnatengeneza commercial badala ya kuzielekeza kwenye matumizi yenye tija.

Mbona maudhui ya tone tone yanafahamika kuwa mnataka michango, nani hajui mpaka apelekewe commercial advert?

Wajanja wameshajipanga kuzipiga. Kwani lazima Godbless Lema awepo kama character? Just thinking aloud
Unajema bas wewe kunguni wa mama?
 
Halafu pesa hizo hizo za tone tone mnatengeneza commercial badala ya kuzielekeza kwenye matumizi yenye tija.

Mbona maudhui ya tone tone yanafahamika kuwa mnataka michango, nani hajui mpaka apelekewe commercial advert?

Wajanja wameshajipanga kuzipiga. Kwani lazima Godbless Lema awepo kama character? Just thinking aloud
Sema we jamaa Una maisha magumu tangia niwe JF naonaga unalalamika tu.

Je Kazi ya uaskari magereza hailipi wenzako wanalima mchicha ili kujalizia katika mshahara
 
Nimependa jinsi wanavyoinjoi maisha kwa vinywaji mbalimbali. Hicho ndicho tonetone itaenda kufanyia "starehe"
 
Lema anaviujanja vya upigaji-pigaji tuu hapo utakuta Kila anayokusanya anaposho yake kadhaa🤣🤣.
Chama hakishawishi wasomi yaani safu ya uongozi hukuti dokta,profesa nk. ni masela kina Heche,Lema,boniyai et al ambao hawajui maana ya research alafu wanapewa uenyekiti wa program nyeti za chama kama hii!!
Nchi hii tutambue wasomi na tuwatumie kwa umuhimu wao badala ya kuskiliza wapigadomo kina mwijako,babalevi,mskuma nk.
 
Sema we jamaa Una maisha magumu tangia niwe JF naonaga unalalamika tu.

Je Kazi ya uaskari magereza hailipi wenzako wanalima mchicha ili kujalizia katik....a mshahara
Ila watu kama hawa wana umuhimu wao pia.
Jambo lolote lina pande mbili, uzuri na mapungufu ...hawa huwa wanaonyesha upande wa mapungufu.
 
Ila watu kama hawa wana umuhimu wao pia.
Jambo lolote lina pande mbili, uzuri na mapungufu ...hawa huwa wanaonyesha upande wa mapungufu.
Njaa tu Mimi nachojua maaskari magereza wanalima Sana mboga mboga kujalizia mshahra sasa kama yeye hafanyi hivyo lazima atakuwa anishia kuwa na hasira
 
Ila watu kama hawa wana umuhimu wao pia.
Jambo lolote lina pande mbili, uzuri na mapungufu ...hawa huwa wanaonyesha upande wa mapungufu.
Tatizo sio upande wa Mapungufu. Tatizo ni matusi. Hawajui kujenga hoja zaidi ya kuwadhalilisha wazazi walio wazaa
 
Wao mbona awachangii madawati,shule na Maendeleo
Chama kinakuja kuomba msaada duh
 
Back
Top Bottom