Bado ipo na ndiyo inayosumbua. Na inatakiwa kulipwa ndani ya siku 14 tangu mlalamikaji anapokabidhiwa gharama za kesi. Hapo ndo kununua haki!Hivi bado ipo ile sheria sijui ukitaka kupinga matokeo ya ubunge unatakiwa kuweka dhamana ya shilingi milioni 15?
Naomba kuelimishwa
Bwana Quality na wengine ambao wanaweza kututumia mchanganuo ufuatao utatusaidi wengine tulio nje ya Tz kuweza kuwakilisha michango yetu pia.
BANK NAME:
BANK ADDRESS:
ACCOUNT NAME:
SWIFT CODE:
ACCOUNT NUMBER, ACCOUNT TYPE
ROUTING NUMBER & BRANCH NUMBER
Na kama kuna IBAN itasaidia pia japo kuwa nashaka kuwa Tz huwa hatutumii IBAN as such.
Kwa kifupi maelekezo ya kutosha kumwezesha mtu kutuma pesa moja kwa moja kwenye akaunti kutoka nje ya Tz.
Aluta continua...
Well said bro/sisy,magazeti ya leo yamereport kuwa polisi imemsafisha mpendazoe ni baada ya kumsingizia gari la wizi.hii ina maana ilikuwa ni mbinu chafu inayotumiwa na mpinzani wake kumpunguza nguvu ila atashindwa tu na unaibu waziri ataucheuaHakuna ujambazi unaozidi aliyeiba kura halali za watanzania, na anajiona sio mwizi. anataka watu wenye vichwa-zero kama wewe ili wawatawale maisha yao yote!
Kama unashindwa kutambua kuwa Mpendazoe kawekwa ktk target tu ya kwamba anatumia gari 'inayohisiwa ya wizi' kama njama za hao manyang'au, wezi wa kura ambao wameiba ubunge wa Segerea na wanaogopa kesi iliyo mahakamani.
Utambue kuwa dawa ya moto ni moto. Ujanja wa kutumia polisi ili kuyumbisha upatikanaji wa haki ni kufillisika. Ndio CCM ipo hapo.
Fred tutamchangia, jimbo litarudi kwa washindi halali, na huyo 'naibu waziri' feki na fisadi wa elimu atarudi mtaani kumiliki baa zake alojenga kwa kukwapua viwanja vya wazi na maeneo ya kuchezea watoto.
Inatia hasira sana kuona mijitu inatetea uozo na hawana fikra halisi.
0 out of 1 members found this post helpful. Thank you for rating this post! :hungry:Wajinga...
Wansoga wa JF wengine haswa wale wapenzi wa Chadema, mara zingine ukiwaambia kupeleka malalamiko yao mahakamani, husema hawana imani na mahakama za Tanzania, kwa nini? kwa sababu serikali ni ya CCM! Sasa hapa naona wengine, au sijui ndio haohao, wanataka mchango wa kesi. Sasa hiyo kesi wataifungulia mahakama ipi? au dili hii?
Bwana Quality na wengine ambao wanaweza kututumia mchanganuo ufuatao utatusaidi wengine tulio nje ya Tz kuweza kuwakilisha michango yetu pia.
BANK NAME:
BANK ADDRESS:
ACCOUNT NAME:
SWIFT CODE:
ACCOUNT NUMBER, ACCOUNT TYPE
ROUTING NUMBER & BRANCH NUMBER
Na kama kuna IBAN itasaidia pia japo kuwa nashaka kuwa Tz huwa hatutumii IBAN as such.
Kwa kifupi maelekezo ya kutosha kumwezesha mtu kutuma pesa moja kwa moja kwenye akaunti kutoka nje ya Tz.
Aluta continua...
hakuna nia nyingine ya shughulikia suala hili bila kwenda mahakamani. ziko na kesi nyingine zimefunguliwa za wabunge na madiwani.
Halafu suala la dili linatoka wapi? Inaelekea hata magazeti hausomi maana hii kesi ilikuwa magezetini hivi karibuni.
Huyu Mpendazoe alimuiga Augustine Mrema, akapiga kelele bungeni, akajitoa CCM akifikiri atagombea urais Chama cha Jamii matokeo yake kajikuta anahangaika, siasa hesabu. Asingejitoa CCM leo si angeendelea kuwa mbunge, mwacheni aendelee kuumia
wewe kama nani? Au unataka tukuchangie wewe?
Ahsante kwa maneno yako mazuri. Taarifa hii ni ile ile iliyokuwa katika gazeti la Tanzania Daima Uk 3. So haunichangii mimi. Lakini unaweza kumpigia katika simu zilizoko katika gazeti na kupata maelezo zaidi. Ahsante sana