Mnataka mchangiwe bila kuonesha mchanganuo? Uswahili tuuuuuu
Kuchangia hapa haimaanishi ni kuchangia CHADEMA per se, bali ni kuchangia mabadiliko na ukuaji wa Demokrasia Tanzania...
Naona kuna tatizo mkubwa. Msg mbili nilizotuma kwenda hiyo namba kwa kutumia voda zimeishia kukatwa tsh 59 kila moja. Can have a check up?Changia Chadema kwa tuma neno "chadema" kwenda 15710 (Zain na Voda tu)
Naona kuna tatizo mkubwa. Msg mbili nilizotuma kwenda hiyo namba kwa kutumia voda zimeishia kukatwa tsh 59 kila moja. Can have a check up?
Chadema (au chama chochote cha upinzani) kinapambana na mawazo mgando na viongozi wanaobebana waliopo ndani ya serikali ya sasa hivi. ni kwa kuiondoa CCM pekee ndio mabadiliko ya kweli na ya manufaa yanaweza kupatikana.Kivipi?
Ebwana Shalom nashukuru sana kwa kunijulisha maana nilikuwa natafuta sana namba ya kuchangia chadema kwa muda mrefu. Mbona hamtangazi kwenye vyombo vingine vya habari kama TV na Redio kama wanavyofanya CCM? Watu kibao wanahamasa ya kuchangia ila hawaijui hiyo namba na hawajahamasishwa....
Naona kuna tatizo mkubwa. Msg mbili nilizotuma kwenda hiyo namba kwa kutumia voda zimeishia kukatwa tsh 59 kila moja. Can have a check up?
To be honest hii kitu ni biashara nzuri sana.. Bulicanas haiwezi gusa hapa wala Aishi Hotel. Mwisho wa siku watu watafanya wafanyavyo lakini watakao tajirika na Upinzani (T) Ltd. ni viongozi wa juu na CCM ambao wanahakikisha hawa mbuzi bado wanabaki too weak to gain real power..so sisimizi anakula kidogo na Nyangumi nae anakula portion kubwa... And the wheels on the... go round and round.. round and round...
Wewe una matatizo binafsi, mbona sisi chadema wenyewe hatuna shaka nao, usije kuwa unatumiwa na cc.....Mbowe na Komu watatajirika zaidi mwaka huu. Uzuri wa CHADEMA, hata Mbowe akiiba wala haitwi fisadi maana anakuwa anachukua profit kutoka lichama la baba mkwe.
You guys are jokers.
Mnataka mchangiwe bila kuonesha mchanganuo?
Uswahili tuuuuuu
Changia chadema
account no 2266600140, jina la account ni chadema, bank ni nmb, tumia tawi lolote, hata kama uko nje ya nchi, nenda kwenye tawi lolote la rabobank ,
au tumia namba ya simu 15710, tuma neno chadema,
asante, mchango wako ni muhimu sana.
People power
Changia chadema
au tumia namba ya simu 15710, tuma neno chadema,