Elections 2010 Changia Maendeleo ya Tanzania - Changia Chadema

hii namba ni ya ukakika kaka, kwa mfano ukitumia nmb mobile itakuambia je unataka kutuma kwenda kwa CHADEMA,?

Thank u Paygod,
Nimetuma,nasubiri kama watanipa jibu maana wezi ni wengi bana.
 
Nimetuma mara nyingi, inakata hela ila no any reply, plzz nadhani ni vizuri mngeweka ka msg angalau kumpa moyo mtumaji. Vilevile ingekua vizuri kutuma msg kwa kila m2miaji wa sim kumtaarifu njia hii ya uchangiaji, mtapata wachangiaji wengi hata zaidi

Peoplezzzzzz powerrrrrrrrrr
 
Tunashukuru kwa kuweka number live, lakini kama kuna uwezekano anayehusika aweke matangazo radioni na kwenye TV ya mara kwa mara kama ya mzee fataki vile!!!, Hii itasaidia wengi wanaopenda mabadiliko na wanajisikia kuichangia CHADEMA wafanye hivyo ki uraisi kabisa. Najua wengi hawajui hii kitu kabisa!!
 
Kweli mkuu, wekeni kwenye matangazo ya redio hata kwa wiki moja, naamini wengi tu watachangia, ila hawaja pata namba sahihi.
 
Nimetuma mchango wangu, pesa imekatwa na ujumbe niliotumiwa unaanza na id:758551612. Naona kama hiyo id ni namba ya Vodacom wakati mimi nimechangia kwa namba ya zain. Hakuna tatizo hapo?
 
Haiwezekani tuwe tuanataka Tanzania ibadilishe chama tawala kwa mara ya kwanza mwaka huu kisha tuwe wagumu kuchangia CHADEMA. Tulioko mbali lazima tuwaombe ndugu walio Tanzania watusaidie kuchangia. Mimi leo nitatuma ujumbe kwa ndugu yangu anisaidie kufikisha laki moja kwenye kampeni ya CHADEMA, ASAP.

Freedom costs. There are no free lunches. Hatuwezi tukategemea Dr Slaa ajitoe kufa na kupona na sisi tukaketi tu. Lazima tuchangie.

Tafadhali tangazeni kwa bidii zaidi namna ya kuchangia. Wekeni elfu moja kwa kila SMS. Watachanga wengi kuliko mnavyodhani.
 
Mapato na matumizi ya CHADEMA yatachunguzwa kwenye vikao husika vya CHADEMA. Si vema kutaka wamwage mtama hapa kwenye kuku wengi.
 
He, kabajeti kiduchu hivyo!.......mbona ccm wana budget ya 52bilion wakati wametekeleza ilani yao kwa zaidi ya 90%? Hizo pesa zote za nini?.........
Any way mi nilishafanya hivyo nilipoona kwenye gazeti la tanzania daima
 
wewe changia tu; maneno kibao hata sent hujachangia

Ni kina nani hao unaowaambia hawajachangia? Tupeane moyo, na sio kukebehiana.

Ni muhimu CHADEMA wakaweka matangazo yao ya namna ya kuchangia kwenye redio, TV na magazeti mengi. Uma wa Watanzania uko nyuma yao; watapata wachangiaji kibao. Kwa sasa, ni wachache sana wanajua wachangieje.
 
Tukiwa tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu Tanzania ambao utafanyika October 31, 2010, Watanzania wazalendo wanachama na wapenzi wa Chadema mnaombwa kuchangia kwa dhati harakati za Chadema ili tuweze kuwafikia Wananchi wengi zaidi katika kila kona ya Tanzania tukitafuta ridhaa yenu ya kuweza kujenga nchi yetu; nchi yenye usawa, uzalendo, maadili na uwajibikaji katika miaka mitano ijayo.

Video Link:
http://www.youtube.com/watch?v=TvLRsAsgyWc

CHANGIA CHADEMA KUPITIA BANK:
CRDB BANK
CHADEMA - M4C
Account Number: 0J1080100600

National Microfinance Bank [NMB]
CHADEMA
Account Number: 2266600140

Unaweza kuweka pesa kupitia tawi lolote la Benki hizi Tanzania.

CHANGIA CHADEMA KUPITIA SMS (MESEJI):
Tuma neno:

"CHADEMA"
kwenda namba 15710
"NAJIUNGA" kwenda namba 15710
"SLAA" kwenda namba 15710

Unaweza kutuma meseji mara nyingi kadri unavyoweza na kila ujumbe utagharimu TZS 350/= tu.
HII NI KWA MITANDAO YA ZAIN, TIGO NA VODACOM TU.

CHANGIA KUPITIA M-PESA:
Kwa watakaotaka kuchangia kwa M-Pesa wanaweza kutumia namba zifuatazo:

0758 223 344
0764 776 673

CHANGIA KUPITIA ZAP:
Kwa watakaotaka kuchangia kwa ZAP wanaweza kutumia namba hii:

0789 555 333

"Ndugu Zangu Watanzania, tunawaomba kwa dhati kabisa tushikamane, tushirikiane bila kujali itikadi zetu kuchangia harakati hizi, tunawashukuru sana. - Dr. Wilbroad Peter Slaa"

CHAGUA MABADILIKO YA KWELI. CHAGUA CHADEMA.
 
Tukiwa tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu Tanzania ambao utafanyika October 31, 2010, Watanzania wazalendo wanachama na wapenzi wa Chadema mnaombwa kuchangia kwa dhati harakati za Chadema ili tuweze kuwafikia Wananchi wengi zaidi katika kila kona ya Tanzania tukitafuta ridhaa yenu ya kuweza kujenga nchi yetu; nchi yenye usawa, uzalendo, maadili na uwajibikaji katika miaka mitano ijayo.

CHANGIA CHADEMA KUPITIA BANK:
CRDB BANK
CHADEMA - M4C
Account Number: 0J1080100600

National Microfinance Bank [NMB]
CHADEMA
Account Number: 2266600140

Unaweza kuweka pesa kupitia tawi lolote la Benki hizi Tanzania.

CHANGIA CHADEMA KUPITIA SMS (MESEJI):
Tuma neno:

"CHADEMA" kwenda namba 15710
"NAJIUNGA" kwenda namba 15710
"SLAA" kwenda namba 15710

Unaweza kutuma meseji mara nyingi kadri unavyoweza na kila ujumbe utagharimu TZS 350/= tu.
HII NI KWA MITANDAO YA ZAIN, TIGO NA VODACOM TU.

CHANGIA KUPITIA M-PESA:
Kwa watakaotaka kuchangia kwa M-Pesa wanaweza kutumia namba zifuatazo:
0758 223 344
0764 776 673

CHANGIA KUPITIA ZAP:
Kwa watakaotaka kuchangia kwa ZAP wanaweza kutumia namba hii:

0789 555 333

"Ndugu Zangu Watanzania, tunawaomba kwa dhati kabisa tushikamane, tushirikiane bila kujali itikadi zetu kuchangia harakati hizi, tunawashukuru sana. - Dr. Wilbroad Peter Slaa"

CHAGUA MABADILIKO YA KWELI.

CHAGUA CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…