She. . . She. . .She. . . She. . .
Nashangaa mshkaji wako hujamwita He. . He. . . He
Au yeye hana jinsia?
We ndo umenisababishia, kwanza jibu PM yangu!!
...lol....nilijua tu, hahaha!
e bana kwa ushauri tu mwambiue jamaa she wote wawili hawamfai kwa sasa,
mpaka atapoamua mwenyewe she yupi anamfil kiukweli.
sawa mkuu! nimekusoma....Hahahahah. . . lile swali nilishakwambia sijibu bana kakondoo.
@Mtoa mada, unafupisha kwani unachajiwa?
Nwy mwambie huyo mshkaji wako hiyo ndio dawa ya kuwa kicheche. Abaki na huyo huyo anaemjulia asiende kumuumiza dada wa watu tena.
Hahahahah. . . lile swali nilishakwambia sijibu bana kakondoo.
Mwambie hapunguze mitoko peke yke, kupokea cm za mademu wengne!! kama ni yeye ndo kicheche je!!? nmshauri mzinzi jinsi yakuishi na mtoto mwenye maadili!
Usinisemeshe tena nakwambia, hakyanani na kanisa nahama!!!
Wakuu nimeombwa ushauri na rafiki yangu,naomba mawazo yenu pia...
Ni hivi: Mshikaji alikuwa na uhusiano na msichana wake wa kwanza uliodumu miaka minne hivi,katikati ya mwaka 2010 akakutana na msichana mwingine ambaye alianza naye mahusiano bila msichana wa kwanza kujua,baadaye msichana wa kwanza akajua basi akaamua kumwacha mshikaji but kwa shingo upande coz alikuwa bado anampenda na jamaa kwa vile alikuwa amenogewa na penzi jipya akaona poa tu,akawa ameachana na wa kwanza japokuwa mawasiliano ya kawaida yalikuwepo, Sasa hivi juzi ananiambia huyu she wake wa pili amemchosha coz she anawivu mbaya hataki hata atoke home,hata akipokea simu she anataka kujua ni simu ya nani,kifupi she anakaba paka penati,ukonvi wa kila siku usioisha na visirani,yaani haipiti wiki wanakwaluzana na issue kama hizi kwa she wake wa zamani hivi vitu havijawahi tokea,akisema hivi she anasema hivi,sasa jamaa anataka kumwaga na kurudi kwa yule wazamani coz bado wanawasiliana na she bado anamfili jamaa,wakuu toeni maushauri na mwenye swali ntajibu kwa niaba ya mshikaji coz namfahamu sana.Nawakilisha.....

Nimekusoma mkuu!Pokea ushauri wangu na upeleke kwa huyo she wake wa kwanza na sio kwa huyo mshikaji wako! Kamwambie she wa kwanza kwamba mshikaji bado hitilafu....anaataka kurudi kwake kwa sababu tu kakumbana na vijimambo kwa she mpya hivyo hata akikubali kurudiana nae basi ajiandae kumwagwa kwa mara ya be!