Bozi Boziana
Madilu system
Lokassa ya Mbongo..
Unataka kuburn or :becky:
Halafu kuna Sam Fan Thomas "African Typic Collection" late eighties kama hujapiga hizi wewe collection yako haijakamilika.
YouTube - ‪san fan thomas-african typic collection‬‎
Halafu kuna wale Wa Gabon wanacheza ndani ya maji ya bahari kwenye video yao, wana wimbo unaitwa Gao or something like that.
Unazitaka hizi? Ninaweza kukuwekea link kama unahitaji.....
Download hapa mkuu (Mayaula Mayoni - Mbongou.mp3)
Wimbo wa Premier Gaou wa kundi la Magic System na huu wimbo ulitesa sana Ufaransa. Wafaransa sasa hivi wanajitahidi kuwa kama USA. Hata kwenye Euro vision, wamewakishswa na jamaa ambaye anayetoka RD Congo mwenye jina la Jessy Kimbangi aka Matador.