Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows Vista
Ufafanuzi Mfupi
Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows Vista (LIP) hutoa toleo lililofasiriwa nusu la Kiolesura cha Mtumiaji cha maeneo yanayotumika sana ya Windows Vista
Kwenye Ukurasa Huu
Maelezo ya Haraka
Muhtasari
Mahitaji ya Mfumo
Maagizo
Nyenzo Zinazohusiana
Uhakikishaji Unahitajika
Upakuaji huu unapatikana kwa wateja wanaodabiri
Windows halisi ya Microsoft. Tafadahli bonyeza kitufe cha
Endelea ili uanze kuhakikisha Windows. Kama ilivyofafanuliwa katika taarifa yetu ya siri ya
Maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara ya Faida ya Windows Halisi.
Maelezo ya Haraka
Jina la Jalada:LIP_sw-KE.mlcToleo:1.0Tarehe Iliyochapishwa:04/11/2009Lugha:KiswahiliSaizi ya Upakuaji:2.5 MBMuda Unaokadiriwa wa Upakuaji: 7 dakika 56KMuunganisho wa modemu (56K)DSL/Kebo (256K)DSL/Kebo (768K)T1 (1.5M) 7 dakika
Badili Lugha:KiafrikanaKialbaniaKiamhariKiarmeniaKiasamisiKiazeri (Latino)KibaskiKibengali (Bangladeshi)Kibengali (India)Kibosnia (Latino)Kibosnia (Siriliki)KifilipinoKifursiKigalishiaKigurajatiKihausaKihindiKiiboKiindonesiaKiisekozaKiislendiKijojiaKikannadaKikatalaniKikazakiKikechwa (Peru)KikemeaKikergiziKikonkaniKilaoKiloksombagishKimalayalamiKimalei (Brunei Darussalam)Kimalei (Malesia)KimaltisiKimaratiKimasedonia (Jamhuri ya Masedonia ya Yugoslavia ya zamani)KimauriKinepaliKinoktituti (Latino)Kinorwe (Nunosk)KioriyaKipunjabiKiserbu (Siriliki)Kisesoto sa Lebaokisetswana (Afrika ya Kusini)KisinhalaKiswahiliKitamiliKitatariKiteluguKiurduKiuzbeki (Latino)KivetinamKiwelshiKiyorubaKizulu
Muhtasari
Kipeto Lugha cha Kiolesura cha Windows Vista (LIP) cha Windows Vista hutoa toleo lililofasiriwa nusu la maeneo yanayotumika sana ya Windows. Baada ya kusanidi LIP, matini kwenye vigagula, vikasha ongezi, menyu, mada za Saidia na Auni, na vipengee vingine kwenye kiolesura cha mtumiaji huangazishwa katika lugha ya LIP. Matini ambayo hayajafasiriwa yatakuwa katika lugha msingi ya Windows Vista. Kwa mfano, kama ulinunua toleo la Kihispania la Windows Vista, na ukasanidi LIP ya Kikatalani, baadhi ya matini yatabaki katika Kihispania. Unaweza kusanidi zaidi ya LIP moja, kwa hivyo kila mtumiaji wa ngamizi anaweza kuangazisha kiolesura cha mtumiaji katika lugha yake anayetaka.
Juu ya ukurasa
Mahitaji ya Mfumo
- Mifumo ya Uendeshaji Inayokubaliwa: Windows Vista
Microsoft Windows Vista
Kiolesura cha mtumiaji katika lugha zinazofuata: Kiingereza
Mb 4.63 ya nafasi wazi ya upakuzi
Mb 15 ya nafasi wazi ya usanidi
Jukwaa Zinazoauniwa: LIP hufanya kazi tu na matoleo ya biti-32 za Windows Vista na haziwezi kusanidiwa kwenye matoleo ya awali ya Windows au kwenye matoleo ya biti-64 za Windows Vista.
Juu ya ukurasa
Maagizo
Upakuaji huu unapatikana kwa kudabiri
Windows halisi ya Microsoft. Bonyeza kitufe cha
Endelea katika sehemu ya
Uhakikishaji Unahitajika ilio juu ili uanzee njia fupi njia ya kuhakikisha. Mara tu inapohakikishwa, utarudishwa kwa ukurasa huu na maagizo maalum ya kupata upakuaji.
Juu ya ukurasa
Nyenzo Zinazohusiana
- Programu ya Lugha Kuruba ya Microsoft
Juu ya ukurasa
chanzo:
Maelezo ya upakuaji: Windows Vista LIP
Haya tena wale wanaotaka kubadilisha Windows Vista iwe inasema kwa Lugha yetu ya Kiswahili wabadilishe hapo juu.