Jamaa alikuwa amekaa ndani ya club Changudoa akamsogelea na kumwuliza,
"Unataka mambo yetu?"
Jamaa akamwambia, "Ndio. Lakini, unaweza kunipa kama mke wangu?"
Changudoa akamjibu, "Hapa usipime. Mimi noma .... Ntakupa mpaka mkeo usimkumbuke! Kwani huyo mkeo anakupaje?"
Jamaa akamjibu, "Mke wangu ananipa bure."
Changudoa, "Nyoo! Fisadi wa biashara za wenzio