Hakuna kazi chafu na haramu kama hyo,ni upumbavu,tamaa na akiri butu kuuza mwili(utu) wako kwa kisingizio chochote kile,katika hili tunaangalia utu wa binadamu maana binadamu hawezi kuwa hayawani,hata kama unatunza familia,unalea yatima n.k,si hoja,Mungu ametuumba na akili nyingi sana kwanini ufanye sodoma halali?ama ndo vile 'mtayachagua ya kwenu na kuyaacha ya muumba wenu?'ni uzembe na uvivu wa kuzitumia akili zetu ipasavyo
hili ni kosa kuliko yote ama kwa shida ama kwa hanasa na ndo maana sodoma iliiona hasira ya Muumba