#COVID19 Chanjo anapewa ambaye hajapata ugonjwa

#COVID19 Chanjo anapewa ambaye hajapata ugonjwa

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
20,834
Reaction score
26,217
Wadau chanjo kitaalam anapewa mtu ambaye hajapata ugonjwa ili iwe kinga kwake.

Watanzania wengi sasa COVID-19 ilishapamba moto kutokana na jinsi serikali ya JPM ilivyopuuzia hili jambo. Sitegemei maajabu sana katika hili suala wakati wengi wetu ni asymptomatic (hatuoneshi dalili) lakini virusi vya Corona tiyari tunavyo.

Inabidi kutafakari zaidi suala na maana halisi ya Chanjo/Vaccine
 
Hii ni biashara hata usishangae..watachoma aliyepata na hata ambaye hakupata..ilimradi dozi ziishe tuagize tena..ukiuliza utaambiwa kukinga na korona...ukipinga utaonekana wewe sio mzalendo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom