Naunga mkonoAnzisha thread inayohusu Corona, ukimaliza anzisha thread kuhusu Mbowe. Swala la Corona na vaccine lipo complicated sana. Kuna CCM kibao walio upande wa Gwajima na serikali na CHADEMA kibao walio upande wa Gwajima na serikali. Kuchanganya kukamatwa kwa Mbowe na ishu ya Covid unaonekana umevuta bangi iliyochanganwa na mavi ya NYUMBU. Rudia kusoma uliyoandika uone kama yanaleta maana hata kwa mashabiki wako.
Mimi nimeshaliandaa Bega langu la kushoto, nalipa tizi ili siku ya Chanjo lisilete mushkeli.Ni wazi kuwa makamanda wamejipanga kusubiria chanjo wakiwa na mioyo inayovuja damu.
Sijawahi ona gaidi anademand katiba mpya ni bongo tu
Acha kuusimanga Mmea mtakatifu wa tahajudi.unaonekana umevuta bangi
Kwani hizi chanjo ni kwa watoto? Au ni jitihada za kuonyesha mtu ni mburula kiasi gani tu.Kun mzee huku katoa notice kwa watoto wake hakuna kuchanja wakichanjwa wasirudi watafute pakukaa, kasema hataki kuishi na misukuleπ
Kuna wazazi mpaka wanawafundisha watoto wao wakiona wahudumu wa Afya wamekuja wakimbie, hivi inamaana wanaamini kabisa serikali imeamua kuua watu wake tu ?Kwani hizi chanjo ni kwa watoto? Au ni jitihada za kuonyesha mtu ni mburula kiasi gani tu.
Acha kuusimanga Mmea mtakatifu wa tahajudi.
π€£π€£π"Mamburula kama hilo wala hatupendi hata kujua kama kuna pua lilijaribu ku-poke πππ!"
Kuna wazazi mpaka wanawafundisha watoto wao wakiona wahudumu wa Afya wamekuja wakimbie, hivi inamaana wanaamini kabisa serikali imeamua kuua watu wake tu ?
Mimi katika mtizamo wangu binafsi nadhani tulifanya haraka labda tungesubiri kwanza tuonane na Raisi Samia face to face ambayo aliahidi mwenyewe ndio tungemueleza kuhusu Katiba mpya na time frame ya mchakato ni mawazo yangu binafsi.Ukweli mchungu makamanda wako resigned. Hawana nia ya kumwunga Mama mkono tena
Mimi katika mtizamo wangu binafsi nadhani tulifanya haraka labda tungesubiri kwanza tuonane na Raisi Samia face to face ambayo aliahidi mwenyewe ndio tungemueleza kuhusu Katiba mpya na time frame ya mchakato ni mawazo yangu binafsi.
Ndio maana nimesema kuwa huo ni mtizamo wangu Binafsi.Hapana mkuu. Mzizi wa fitina ulikuwa hapa:
Ndio maana nimesema kuwa huo ni mtizamo wangu Binafsi.
Mabadiliko yoyote makubwa yanahitaji Sacrifice,Mwamba na Shujaa wetu Freeman Mbowe atatuvusha.Mkuu mawazo tofauti ndiyo mwendelezo wa kufikia kulikokomaa. Mwamba Mbowe ni mpambanaji. Aliko ninaamini hana majuto:
View attachment 1873360
Serikali 'sikivu' Inaposikia nusu nusu
Amesikika mheshimiwa SSH jana akiongelea tozo za miamala na bei za mbolea. Akijinasibu kuwa huko ndiko kusikia kwa serikali yake sikivu. Ikumbukwe kuwa za moto zaidi kwenye ajenda zimekuwa: 1. Ongezeko la kodi na tozo mbalimbali. 2. Vita dhidi ya Corona ikiwamo chanjo na tahadhari husika. 3...www.jamiiforums.com
Anasema hajasikia. Anahitaji sauti zaidi. Bila shaka hata za bawacha juzi ni sehemu ya sauti hizo.
Tutafika tu.