Tarehe 30 mwezi wa nne dunia inahitimisha wiki ya chanjo duniani.
Hebu uliza wataalamu waKupe majibu kuhusu swali lolote kuhusu chanjo..
Wataalamu toeni maelezo kwa kila swali.
NB: kama kuna kitu umesikia, iweke kama swali upate jibu. Ili kila jibu liwe jibu sahihi.