#COVID19 Chanjo: Ufahamu Ukweli Ukuepushe na Makanjanja

#COVID19 Chanjo: Ufahamu Ukweli Ukuepushe na Makanjanja

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Uliokuwa ugonjwa kama yalivyo mengine, ulifanywa siasa hatimaye kuwa vita tokea kwa mabeberu na watu wakaaminishwa hivyo.

Badala ya gonjwa kuwa chini ya wataalamu wa Afya, Sirro na hata wasiojulikana na mabunduki yao wakajiunga kwenye harakati hizo kama watendaji wakuu.

Tulipo leo ni kwenye chanjo:



Kama ilivyokuwa kwenye ugonjwa, makanjanja nao wangalipo. Si haba kujizatiti na hata kuwaumbua makanjanja hawa wasiokuwa na a, b wala c na afya za binadamu, waliojaa kila kona.

Hatupo salama hadi angalau pale miili yetu itakapokuwa imepokea chanjo.
 
Back
Top Bottom