Waziri kavurugwa nini. Naomba niulize; vifo vimeanza mwaka huu punde baada ya chanjo kuja??
Kwanini waziri Gwajima haja wajibishwa, na alishiriki mauaji kipindi cha Mwenda zake?Kwa mujibu wa Waziri Mollel:
1. Suala la ugonjwa wa Corona na tahadhari zake zikiwamo chanjo ni suala la kisayansi ambalo si kila mtu anaweza kuwa na ujuzi nalo.
2. Ni bahati mbaya sana kuwa kuna watu bila ya kuwa na ujuzi nalo wamelivalia njuga na kuendelea kupotosha watu.
View attachment 1895602
Kwa mujibu wa Waziri Mollel watawajibishwa wote wanaosababisha wengine wasio na hatia kuendelea kufa kwa upotoshaji wao kuhusiana na Ugonjwa huu.
Habari njema hii na inyumbulike kuwafikia wote wakiwamo waliowahi kuupotosha umma wakati wowote na kwa namna yoyote kuhusiana na ugonjwa huu na kupelekea vifo.
Hata dk Molleli mwenyewe alihusika kupotosha kipindi hichoKwanini waziri Gwajima haja wajibishwa, na alishiriki mauaji kipindi cha Mwenda zake?
Kwanini Jafo hayuko magereza. Kwanini Mollel yuko uraiani
Kwanini waziri Gwajima haja wajibishwa, na alishiriki mauaji kipindi cha Mwenda zake?
Kwanini Jafo hayuko magereza. Kwanini Mollel yuko uraiani
Hata dk Molleli mwenyewe alihusika kupotosha kipindi hicho
Acheni ujinga aseeKuwawajibisha Wanaopotosha na waliopotosha ni hatua njema sana.
Nani watakumbwa kwenye kokoro hilo, hilo ni jambo la baadaye.
Corona: Orodha ya wahanga, sampuli
Hatuko vibaya. Tulikubaliana kuwawajibisha wote waliosababisha ndugu zetu wengi kufa vifo ambavyo vingeweza kuepukika.
Kwanini mwenye kutakiwa kuacha ujinga usiwe wewe?Acheni ujinga asee
Tuna watawala wa ajabu sana Nchi hii. Clueless. Mostly hawa bado wanaamini katika "kujifukizia" ila hizi ngojera wanaziimba kumfurahisha madam President ambaye yeye kwa sasa priority yake ni kutalii nje ya Nchi.Vitu vyengine vya kipumbavu yani nguvu zote zimeelekezwa kwenye hivyo vichanjo(chache) hali ya kuwa suala la level seat na kuvaa barakoa tu limewashinda, chanjo M1 tu (kwa watu M60) tunaangaika nazo na bado tunahitaji kuongeza nguvu ya kuwamasisha watu kwa hizo chanjo M1 tu halafu ajabu ndio tunaona hizo ndio tumaini letu na kusahau kabisa suala la kuchukua tahadhari za kujikinga na corona maana..
Wizara ya afya kwanza kabisa inatakiwa kuwa mstari wa mbele.
Wao wanapotosha wananchi.
Kwa kutokutoa taatifa muhimu ya vipimo, wagonjwa, vifo na waliopona.
Kila mkoa uwe na free Covid-19 Test ili watu wajitokeze.
Hata hili la kutoa chanjo hakuna mahali wanatoa kadi au maandishi ya kuonyesha umechanjwa! Sasa hu ni utaratibu wa wapi!??