Mwandishi ni poyoyo tu, hakuna jina lingine la kimfaa zaidi ya hilo
Basi imetosha ni kweli alikosea,sasa tujirekebushe tu na kuendelea na maishaFaida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya,China,USA,CANADA,SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida.Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea.Wananchi wao wamepata chanjo na sasa hawana tena hofu na ugonjwa wa CORONA.HUDUMA ZA JAMII,STAREHE,N.K ZIMERUDI KAMA KAWAIDA.Hapa kwetu awamu ya tano tena bila aibu ikatuambia tutumie njia za asili yaani tukapoteza mamilioni kujenga sehemu ya kujifukiza hapo muhimbili huku watu wanateketea.Waziri wa Afya bado yupo!!!inashangaza kuona Hakuondolewa katika baraza la mawaziri wa Awamu ya Sita.Jopo la Wataalam limetoa mapendekezo yake na yakitekelezwa tutarudi katika uchumi bora sana yaani mishahara itapanda,watalii MABILIONEA original kama wanaokwenda Kenya MFANO akina Bill Gates,Rihanna,JZ na mkewe Beyonce,Tim Werner,Agnelli n.k wataongezeka na watu wa aina hii huwa wanakuja na wapambe kibao(wengi) ,vivyo hivyo wawekezaji wakubwa watakuja kama akina Dangotte,Unilever,Morgans etc kuwekeza na sio wanaojiita wawekezaji eti wamefungua kiwanda cha kukoboa mpunga na bila aibu mkuu wa nchi anakifungua. Tukifanikiwa kufuata ushauri wa kamati kuhusu CORONA miradi mingi itaongezeka, HOFU miongoni mwa hawa wachache niliowataja itaondoka.Leo tu kwa wapenzi wa soka la England viwanja vimeanza kufurika watu.Najua watatokea wapuuzi watapinga tu.Baada ya mapendekezo ya ripoti ya wataalam kuhusu corona kutolewa,sasa ni wakti muafaka kwa Waziri wa Afya kuachia ngazi.Katutia aibu kubwa duniani.#KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #KAZI IENDELEE.
Mikumbo ya kusafisha nia ovu za watu itawatokea puani. Acheni kutumia masikio kufikir.Basi imetosha ni kweli alikosea,sasa tujirekebushe tu na kuendelea na maisha
Umemuelewa ?Kwani nani kakuambia sisi tunaishi na HOFU ulihoji mmojammoja wakakuambia wanaHOFU
Au uliwakuta wamejifungia ndani wakiwa na hiyo HOFU ya kutembea kuogopa CORONA
Mimi sina HOFU labda hiyo HOFU unayo wewe
Mimi na Wenzangu kitaa wala hatushtuki na hatuna habari tunadunda tuu kama kawa
Huyo bibi wa afya na jopo lake hawafai kabisa kuwa ofisini hata kwa dak 1Faida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya,China,USA,CANADA,SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida.Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea.Wananchi wao wamepata chanjo na sasa hawana tena hofu na ugonjwa wa CORONA.HUDUMA ZA JAMII,STAREHE,N.K ZIMERUDI KAMA KAWAIDA.Hapa kwetu awamu ya tano tena bila aibu ikatuambia tutumie njia za asili yaani tukapoteza mamilioni kujenga sehemu ya kujifukiza hapo muhimbili huku watu wanateketea.Waziri wa Afya bado yupo!!!inashangaza kuona Hakuondolewa katika baraza la mawaziri wa Awamu ya Sita.Jopo la Wataalam limetoa mapendekezo yake na yakitekelezwa tutarudi katika uchumi bora sana yaani mishahara itapanda,watalii MABILIONEA original kama wanaokwenda Kenya MFANO akina Bill Gates,Rihanna,JZ na mkewe Beyonce,Tim Werner,Agnelli n.k wataongezeka na watu wa aina hii huwa wanakuja na wapambe kibao(wengi) ,vivyo hivyo wawekezaji wakubwa watakuja kama akina Dangotte,Unilever,Morgans etc kuwekeza na sio wanaojiita wawekezaji eti wamefungua kiwanda cha kukoboa mpunga na bila aibu mkuu wa nchi anakifungua. Tukifanikiwa kufuata ushauri wa kamati kuhusu CORONA miradi mingi itaongezeka, HOFU miongoni mwa hawa wachache niliowataja itaondoka.Leo tu kwa wapenzi wa soka la England viwanja vimeanza kufurika watu.Najua watatokea wapuuzi watapinga tu.Baada ya mapendekezo ya ripoti ya wataalam kuhusu corona kutolewa,sasa ni wakti muafaka kwa Waziri wa Afya kuachia ngazi.Katutia aibu kubwa duniani.#KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #KAZI IENDELEE.
Sasahivi sisimizi wapo mpk puaniKinjekitile amekwenda na maji.
Kwani tanzania hakuna fulaha?Faida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya,China,USA,CANADA,SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida.Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea.Wananchi wao wamepata chanjo na sasa hawana tena hofu na ugonjwa wa CORONA.HUDUMA ZA JAMII,STAREHE,N.K ZIMERUDI KAMA KAWAIDA.Hapa kwetu awamu ya tano tena bila aibu ikatuambia tutumie njia za asili yaani tukapoteza mamilioni kujenga sehemu ya kujifukiza hapo muhimbili huku watu wanateketea.Waziri wa Afya bado yupo!!!inashangaza kuona Hakuondolewa katika baraza la mawaziri wa Awamu ya Sita.Jopo la Wataalam limetoa mapendekezo yake na yakitekelezwa tutarudi katika uchumi bora sana yaani mishahara itapanda,watalii MABILIONEA original kama wanaokwenda Kenya MFANO akina Bill Gates,Rihanna,JZ na mkewe Beyonce,Tim Werner,Agnelli n.k wataongezeka na watu wa aina hii huwa wanakuja na wapambe kibao(wengi) ,vivyo hivyo wawekezaji wakubwa watakuja kama akina Dangotte,Unilever,Morgans etc kuwekeza na sio wanaojiita wawekezaji eti wamefungua kiwanda cha kukoboa mpunga na bila aibu mkuu wa nchi anakifungua. Tukifanikiwa kufuata ushauri wa kamati kuhusu CORONA miradi mingi itaongezeka, HOFU miongoni mwa hawa wachache niliowataja itaondoka.Leo tu kwa wapenzi wa soka la England viwanja vimeanza kufurika watu.Najua watatokea wapuuzi watapinga tu.Baada ya mapendekezo ya ripoti ya wataalam kuhusu corona kutolewa,sasa ni wakti muafaka kwa Waziri wa Afya kuachia ngazi.Katutia aibu kubwa duniani.#KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #KAZI IENDELEE.
Kweli kabisa mama anajitahidi lakini nilitazamia wale mawaziri wa afya wa awamu iliyopita wasiwepo kwenye awamu hii.Faida ya chanjo imezirudisha nchi nyingi hasa za Ulaya,China,USA,CANADA,SOUTH KOREA ETC katika uchumi wao wa kawaida.Yaani wanaitwa nchi zilizoendelea.
Wananchi wao wamepata chanjo na sasa hawana tena hofu na ugonjwa wa CORONA.HUDUMA ZA JAMII,STAREHE,N.K ZIMERUDI KAMA KAWAIDA.
Hapa kwetu awamu ya tano tena bila aibu ikatuambia tutumie njia za asili yaani tukapoteza mamilioni kujenga sehemu ya kujifukiza hapo Muhimbili huku watu wanateketea. Waziri wa Afya bado yupo. Inashangaza kuona hakuondolewa katika Baraza la Mawaziri wa Awamu ya Sita.
Jopo la Wataalam limetoa mapendekezo yake na yakitekelezwa tutarudi katika uchumi bora sana yaani mishahara itapanda, watalii mabilionea original kama wanaokwenda Kenya mfano wataongezeka na watu wa aina hii huwa wanakuja na wapambe kibao(wengi) ,vivyo hivyo wawekezaji wakubwa watakuja kuwekeza
Tukifanikiwa kufuata ushauri wa kamati kuhusu CORONA miradi mingi itaongezeka, HOFU miongoni mwa hawa wachache niliowataja itaondoka.
Leo tu kwa wapenzi wa soka la England viwanja vimeanza kufurika watu.
Baada ya mapendekezo ya ripoti ya wataalam kuhusu corona kutolewa,sasa ni wakti muafaka kwa Waziri wa Afya kuachia ngazi.Katutia aibu kubwa duniani.
#KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA #KAZI IENDELEE.