Abdalah Abdulrahman
JF-Expert Member
- Aug 29, 2019
- 222
- 202
Mataifa makubwa yanapigania mambo matatu kwa sasa hivi, mambo haya ni nguvu, faida na uthibiti. Kwa lugha ya kichagga ni Power, Profit and Control (PPC).Fursa hizi tatu zinaweza kupatikana kwenye janga ambalo kwa namna moja au nyingingine mataifa haya yamechangia kwa kukusudia au kutokukusudia kusambaa kwake.
Mataifa maubwa kupitia taasisi na vyombo vyao vya habari kwa kiwango kikubwa wanapigania kuongeza khofu katika jamii,kushinikiza kwa mbinu mbalimbali juu ya njia za kutumia kukabiliana na korona.
Mahitaji ya barakoa, vitakatisha mikono na vifaa vingine vya hospitali zikiwemo ventilator vilizalishwa kwa wingi na makampuni mengi ya nchi zilizoendelea na kupata faida kubwa.Athari za janga la korona zilipungua baada ya nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania kuzalisha bidhaa za kukabiliana na janga hili na kuondoa utegemezi wa mataifa makubwa na hivyo kusababisha kupungua kwa biashara ya vifaa vya kukabiliana na hili janga vinavyozalishwa na nchi zilizoendela.
Hivi sasa imekuja khofu nyingine ya kirusi cha korona ambacho madhara yake ni makubwa kuliko cha awali,na wakati huu biashara kubwa imehamia kwenye chanjo ambapo mataifa makubwa yanajikita katika kuleta chanjo ambazo ufanisi wake unaweza kupimwa baada ya miaka 9-14.Chanjo hizi pia kwa mujibu wa watafiti hazizuii kupata mambukizi na hazi na pia haiendani na baadhi ya watu wenye baadhi ya magonjwa.Chanjo hizi zitaleta faida tatu kwa mataifa tajiri,faida ya power,profit,na control kwa nchi maskini na nchi zingine zitakazotumia chanjo hizi.
Viongozi wa nchi za Afrika wawe makini na chanjo pamoja na khofu inayopenyezwa na mataifa makubwa kwenye vita hii ya uchumi.