Chanjo ya corona: Ushuhuda wa huyu jamaa msikilize (FAKE NEWS)

Status
Not open for further replies.
Anawajaza ujinga tu watu wasiojua technology. Hata wewe simu yako unaweza kuibadilisha jina na kuita pfizer au hio Astrazaneca wenye bluetooth ama wifi hotspot.
 
k

Wa taarifa yako siyo huyo peke yake anayelalamika kuwa connected kwenye mitandao kupitia chanjo walizopata!!
 
Okay sawa, na mimi nimepata chanjo nimejaribu check hii video nliokuwekea, nimepitisha mkono tu imetaka ku connect. Nimeamini kama hii ishu ipo kweli.
 
Attachments

  • chanjo.mp4
    2 MB
k

Wa taarifa yako siyo huyo peke yake anayelalamika kuwa connected kwenye mitandao kupitia chanjo walizopata!!
with concrete evidence walete hapa. wakiwa na evidence waeleze. na ww uprove allegation zako
 
Mimi sina cha kuprove hapa, bali nimekuwekea huo ushuhuda wa mtu ni juu yako kukubali au kukataa! Mimi sijachanjwa na huo mpango sina labda waniue kwanza ndipo wanichanje.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…