LA7 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 655 Reaction score 2,369 Mar 6, 2023 #1 mliochanja mnajisikiaje maana mlikuwa mnapewa na cheti kabisa
mkulu senkondo JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 1,862 Reaction score 3,574 Mar 6, 2023 #2 Ile Covid -19 na michezo yake yote ilikuwa scam. Wajanja tulijua mapema sana! Kuna pimbi ziliingia kichwa kichwa zikaliwa. Mafua hayajawahi kuwa tishio kwa ngozi nyeusi ndio Maana mm nikiwa nayo namuita demu wangu nimuambikize na yeye.
Ile Covid -19 na michezo yake yote ilikuwa scam. Wajanja tulijua mapema sana! Kuna pimbi ziliingia kichwa kichwa zikaliwa. Mafua hayajawahi kuwa tishio kwa ngozi nyeusi ndio Maana mm nikiwa nayo namuita demu wangu nimuambikize na yeye.