#COVID19 Chanjo ya covid-19 inatolewa hospital gani nikachanjwe?

#COVID19 Chanjo ya covid-19 inatolewa hospital gani nikachanjwe?

Nawatania

Senior Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
148
Reaction score
549
Wakuu hospital gani hapa dar inatoa chanjo na masharti gani yanatakiwa ili nipate chanjo?

Mwenye kujua anipe utaratibu.
 
Usiwe na haraka. Kuanzia kesho utaratibu wote utatolewa.
Kwa sasa malizia hayo malimao na tangawizi.
 
Wakuu hospital gani hapa dar inatoa chanjo na masharti gani yanatakiwa ili nipate chanjo?

Mwenye kujua anipe utaratibu.
Kwa Dar es Salaam
Screenshot_20210729-203708_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom