Kiwanja MpakaWakuu hospital gani hapa dar inatoa chanjo na masharti gani yanatakiwa ili nipate chanjo? Mwenye kujua anipe utaratibu.
Kigwangala kachanjia UrusiNa waliochanjwa tayari walipataje?
Connections!Na waliochanjwa tayari walipataje?
Kwa Dar es SalaamWakuu hospital gani hapa dar inatoa chanjo na masharti gani yanatakiwa ili nipate chanjo?
Mwenye kujua anipe utaratibu.