Chanjo ya Covid19 inaletwa lini? Gharama za kupima zipo juu mno tunashindwa kusafiri nauliza

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
2,377
Reaction score
2,048
Jamani nauliza hapa nchini kwetu ule mpango was kupewa chanjo umeishia wapi sisi wengine tunahitaji maana in wasafiri gharama za kupima zimekuwa kubwa mno kiasi kwamba kila nikipata kazi online nakwama kupima sababu sina dola mia.
 
Naona unachelewa kuipata wenzako tulishamalizana nayo muda. !!
 
Wapi nifuate jamani kila nikipata kazi nashindwa kusafiri kikwazo no kipimo kipo juu dola mia in nyingi sana ukizingatia kila kitu unatumiwa
 
Muwe "wazarendo" ndugu zangu , tuenzi legasi alikuwa "hasafili safili" ovyo
 
Jamani nauliza hapa nchini kwetu ule mpango was kupewa chanjo umeishia wapi sisi wengine tunahitaji maana in wasafiri gharama za kupima zimekuwa kubwa mno kiasi kwamba kila nikipata kazi online nakwama kupima sababu sina dola mia.
Hii dola 100 umeipata wapi?
Kipimo ni 40,000 kwa mtanzania, dola 100 kwa mgeni.
Ilikuwa tangazo la mwaka Jana, je walibadilisha?
Screenshot_20210624-094616.png
Screenshot_20210624-094629.png
 
Dah basi sawa
Na bado dola 100 ukiondoka na ukirudi alfu 50 airport sasa sijui ya airport wanaendelea au wamebadili maana haina maana yoyote mtu kisha pima alikotoka anakuja airport tena apime ok hata kama kapima positive airport shida iko wapi maana hana symptoms zozote sana sana atajitenga na family yake halafu kipimo chenyewe cha Airport ni rapid test ambacho accuracy yake ndogo sana muhimu siku hizi safari ni usumbufu tu kwa kweli.
 
Mimi nimetoa hiyo hela jana nimeumia sana wakati kile kipimo Botswana na kwingineko ni bure tuu Tanzania tunapoteza hela kizembe tuu hicho kipimo cha safari kipo ghari kweli...unakuja umepima huko na bado muda upo lakini unalazimishwa kutozwa fedha za bure tuu...
 
Back
Top Bottom