Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Wapi nifuate jamani kila nikipata kazi nashindwa kusafiri kikwazo no kipimo kipo juu dola mia in nyingi sana ukizingatia kila kitu unatumiwaNaona unachelewa kuipata wenzako tulishamalizana nayo muda. !!
Hii dola 100 umeipata wapi?Jamani nauliza hapa nchini kwetu ule mpango was kupewa chanjo umeishia wapi sisi wengine tunahitaji maana in wasafiri gharama za kupima zimekuwa kubwa mno kiasi kwamba kila nikipata kazi online nakwama kupima sababu sina dola mia.
100USD siyo 40,000Hii dola 100 umeipata wapi?
Kipimo ni 40,000 kwa mtanzania, dola 100 kwa mgeni.
Ilikuwa tangazo la mwaka Jana, je walibadilisha?
View attachment 1828310View attachment 1828311
Dah basi sawaNi
100USD siyo 40,000
Nadhani hilo tangazo la zamani sana
Na bado dola 100 ukiondoka na ukirudi alfu 50 airport sasa sijui ya airport wanaendelea au wamebadili maana haina maana yoyote mtu kisha pima alikotoka anakuja airport tena apime ok hata kama kapima positive airport shida iko wapi maana hana symptoms zozote sana sana atajitenga na family yake halafu kipimo chenyewe cha Airport ni rapid test ambacho accuracy yake ndogo sana muhimu siku hizi safari ni usumbufu tu kwa kweli.Dah basi sawa
January 7 walibandika tangazo lingine ambalo wasafiri wote wanaokwenda nje ya Nchi kupima ni dola mia $100.Ni
100USD siyo 40,000
Nadhani hilo tangazo la zamani sana
Mimi nimetoa hiyo hela jana nimeumia sana wakati kile kipimo Botswana na kwingineko ni bure tuu Tanzania tunapoteza hela kizembe tuu hicho kipimo cha safari kipo ghari kweli...unakuja umepima huko na bado muda upo lakini unalazimishwa kutozwa fedha za bure tuu...Na bado dola 100 ukiondoka na ukirudi alfu 50 airport sasa sijui ya airport wanaendelea au wamebadili maana haina maana yoyote mtu kisha pima alikotoka anakuja airport tena apime ok hata kama kapima positive airport shida iko wapi maana hana symptoms zozote sana sana atajitenga na family yake halafu kipimo chenyewe cha Airport ni rapid test ambacho accuracy yake ndogo sana muhimu siku hizi safari ni usumbufu tu kwa kweli.
Unalipia. Haijalishi chanjo. Unatakiwa kuthibitisha uko na negative test ya COVID kupanda ndege, hata kama umepata chanjoUkiwa umechoma chanjo hulipii tena hiyo dola Mia?