#COVID19 Chanjo ya COVID19 kuanza kutolewa kwa Makundi ya kipaumbele

#COVID19 Chanjo ya COVID19 kuanza kutolewa kwa Makundi ya kipaumbele

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760


Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali imepokea Dozi 1,058,400 tu hivyo Makundi ya Kipaumbele yatakayopewa ni Watumishi wa Sekta ya Afya waliomstari wa mbele, Wenye umri wa miaka 50 na zaidi na Wenye Magonjwa Sugu

Makundi mengine yataendelea kupata chanjo kadiri Serikali utakavyoendelea kuagiza
 
Watumishi wa sekta ya afya walio mstari wa mbele?

Inaonyesha kuna watumishi hawatochanjwa hapa, watumishi wote wa afya wapo hatarini kuambukizwa wapate chanjo.
 
wasomi wetu bwana
11111.jpg
 
Hawa ndiyo walioenda kunywa kikombe cha babu wa loliondo
 
Back
Top Bottom