Chanjo ya homa ya ini inapatikama kwenye Hospitali Kuu za Mkoa?

Chanjo ya homa ya ini inapatikama kwenye Hospitali Kuu za Mkoa?

walikuyu

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
934
Reaction score
1,981
Wakuu habari za jioni!,

Naomba niulize chanjo ya homa ya ini inapatikana kwenye hizi hospital kuu za mikoa kwa sisi tuliopo mikoani au hata kwenye hospital za wilaya? Na je vp gharama zake ni bei gani kwa mtu mmoja?

Kingine kwa watu wanaotumia bima! Je wanaruhusiwa kutumia bima ili kupata chanjo ya homa ya ini au lah?
Tafadhali mwenye kufahamu chochote basi aje atueleweshe.
 
Hata vituo vya afya tu inapatikana. Wanakupima kabla hujachanja, ukikutwa unaanza dozi ya matumaini. Homa ya ini ni hatari
 
Ndio. Mimi nilichoma Dodoma hapa zote tatu nikakamilisha. Kila dozi ilikua 10k kama sikosei
 
Back
Top Bottom