mtemiwaWandamba JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 561 Reaction score 223 Dec 4, 2013 #1 Waungwana naomba kufahamishwa ukipata chanjo ya homa ya manjano, unatakiwa ukae muda gani mpaka upate tena chanjo nyingine.
Waungwana naomba kufahamishwa ukipata chanjo ya homa ya manjano, unatakiwa ukae muda gani mpaka upate tena chanjo nyingine.
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,393 Aug 21, 2016 #2 inadumu miaka 10