ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mimi sijui chanjo nilizopigwa enzi bado ni mtoto mchanga au chini ya miaka mitano. Chanjo ninayoikumbuka vizuri ni ile ya kichocho ambayo tulichomwa mashuleni nilikuwa shule ya msingi nimesahau darasa la ngapi ila ni Kati ya 2006-2008. Tena nakumbuka tulipikiwa wali shuleni.
Sasa chanjo ile iliniletea hali ya kuchanganyikiwa kichwani mpaka kufikia hatua kusahau muenendo wa siku na tarehe yaani zile siku mbili baada ya chanjo ungeniuliza ni juma ngapi mimi nisingeweza kusema yaani ni hali flani kama unakuwa huna akili kabisa ndo maana toka siku ile nikahisi mechanism ya chanjo kufanya kazi ni hatari kidogo sio Kama dawa.
Kwa hiyo, me chanjo ya corona hamnchanji bora niendelee kula masumu mengine ya pombe Kali n.k ila hii sumu mpya ya chanjo ya corona hapana Hapo pamoto sio pa kucheza nako.