Chanjo ya kuku aina ya TATU MOJA

lufungulo k

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
2,601
Reaction score
2,058
Vifaranga vyangu vya kuku wa kienyeji, walipofikisha umri wa takribani wiki 2 hivi niliamua kuwapa chanjo hii.

Baada ya muda vifaranga viliendelea vzr lkn sasa vimepata madhara kwenye jicho KUVIMBA, sasa sijui ni kutokana na chanjo hii au la !! Naomba wataalamu wanisaidie .
 
Mhuuuuu unaokota tu chanjo......
 
Mafua makali.Tumia tylodox tylofarm
 
Ulitakiwa kuwapa Newcastle baa da ya wiki moja na gumboro baada ya wiki 2
 
Ni kweli huwa nafanya hivyo sasa nilipoiona hii chanjo ya 3- 1 nikataka urahisi maana katka hii chanjo kwa maelezo yao kama niko sahihi ! Ukiwapa inabaki chanjo ya Gumboro peke yake na utarudia baada ya miezi 3
 
Zinafanya kazi ila ni kwa kiwango kidogo kulingana na utunzwaji wake toka imetengenezwa. Nilikua natumia zamani,
Ila matokeo hayakuwa ya kutabirika mana kuna muda ilikua inadunda na wakati mwingine inafanya kazi.
 
Siku zote rahisi ni ghali
 
Peleka maabara au tafuta wataalamu wa mifugo, huku utapigishwa ramli tu.
 
Zinafanya kazi ila ni kwa kiwango kidogo kulingana na utunzwaji wake toka imetengenezwa. Nilikua natumia zamani,
Ila matokeo hayakuwa ya kutabirika mana kuna muda ilikua inadunda na wakati mwingine inafanya kazi.
kama kawaida cheap is expensive
 
Attachments

  • 20240718_124515.jpg
    1.6 MB · Views: 18
Nimekumbwa na tatizo mfano wa hili.
Kuku, kanga, batamzinga wameathirika baada ya chanjo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…