O othorong'ong'o Senior Member Joined Jan 20, 2011 Posts 103 Reaction score 19 Jan 31, 2011 #1 Msaada:,mtoto wangu alichomwa chanjo ya ndui mara tu alipozaliwa,baada ya mwezi mmoja sehemu alochanjwa begani imevimba na imejaa usaa,je nikiikamua ina madhara?
Msaada:,mtoto wangu alichomwa chanjo ya ndui mara tu alipozaliwa,baada ya mwezi mmoja sehemu alochanjwa begani imevimba na imejaa usaa,je nikiikamua ina madhara?