Hbr za leo wakuu,tafadhali naomba msaada ktk maswala yafuatayo:
1. Je naweza kuwachanja kuku
wangu chanjo ya ndui japo muda
umeshapita?
2. Ni sahihi kuwachanja kuku chanjo
hii wakiwa wanaendelea na dawa
ya amprolium 20%?
3. Mwenye kundi la ufugaji naomba
aniunge.
4. Je naweza kuwapa dawa ya
minyoo siku inayofuata baada ya
kumaliza dawa hii na kuwachanja
new castle baada ya kumaliza
dawa ya minyoo?
Ni hayo tu wakuu tafadhali naomba msaada wenu.
Sent using
Jamii Forums mobile app