Wanajf siku chache zilizopita nilikuja hapa jukwaani na kuwaomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga ambavyo vinaharisha halafu kinyesi kinaganda sehemu yao ya haja kubwa, mlichonishauri nimekifanya yaani kuwapa dawa mlizosema!
Kinachonisikistisha pamoja na hayo yote ndani ya siku hizo vimekufa asilimia 25,ya vifaranga nilivyokuwa navyo!Ili kuepuka hasara hii kipindi kijacho,ninaomba anayeijua chanjo yake anielimishe maana KINGA NI BORA KULIKO TIBA