Chanjo ya ugonjwa huu wa vifaranga ni ipi?

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Wanajf siku chache zilizopita nilikuja hapa jukwaani na kuwaomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa vifaranga ambavyo vinaharisha halafu kinyesi kinaganda sehemu yao ya haja kubwa, mlichonishauri nimekifanya yaani kuwapa dawa mlizosema!

Kinachonisikistisha pamoja na hayo yote ndani ya siku hizo vimekufa asilimia 25,ya vifaranga nilivyokuwa navyo!Ili kuepuka hasara hii kipindi kijacho,ninaomba anayeijua chanjo yake anielimishe maana KINGA NI BORA KULIKO TIBA

 
Nitawapa wakifikisha siku 7
 
Bila shaka hii ni typhoid ya kuku? Some time kinyesi kinakuwa rangi nyeupe kama chokaa??
 
Jitahidi kuingia YOU TUBE

TAFUTA MAGONJWA YA KUKU, UTAPATA MENGI YA KUJIFUNZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…