Chanjo ya ukimwi kuanza kutolewa sasa

Mr Ngoma

Senior Member
Joined
Jul 22, 2008
Posts
139
Reaction score
76
Baada ya kufanya reseach kwa muda usiopungua miaka kumi hawa jamaa wa canada wamepewa rukhsa kutoa hii chanjo kwa binadam.
Jamani mnaokwenda Loliondo kwa kuwa mlikuwa hamna tumaini sasa lipo

Source hii hapa: HIV vaccine
 
when will it reach our people....!!:embarassed2:
 
epuka zinaa basi utakuwa safe
 
Tuwe wakweli nduguzani. Suala la Ukimwi siyo la kufanyia mzaha!!
 
Kumbe ni chanjo....! Kwahiyo walopata HIV wao bado dawa kupatikana.
 
Baada ya kufanya reseach kwa muda usiopungua miaka kumi hawa jamaa wa canada wamepewa rukhsa kutoa hii chanjo kwa binadam.
Jamani mnaokwenda Loliondo kwa kuwa mlikuwa hamna tumaini sasa lipo

Source hii hapa: HIV vaccine

Caution: What has been approved by FDA is clinical testing (clinical trial) of the construct, not mass administration of the "vaccine"). Hakuna chanjo ya ukimwi bali majaribio ya chanjo ya ukimwi (tena ya hatua ya kwanza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…