Chanjo ya UKIMWIi yapatikana

Chanjo ya UKIMWIi yapatikana

Tatemahunda

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
232
Reaction score
91
Hivi ni kweli chanjo wanayodai watafiti wa ukimwi marekan kua ni yenye mafanikio inafaida kwa watu au wanataka tu kukuza uchumi wa nchi hiyo na kujizolea umaarufu?
 
Hivi ni kweli chanjo wanayodai watafiti wa ukimwi marekan kua ni yenye mafanikio inafaida kwa watu au wanataka tu kukuza uchumi wa nchi hiyo na kujizolea umaarufu?

Sina hakika kama chanjo imepatikana. Ila nina hakika dunia ipo karibu mno kupata tiba ya Ukimwi
 
>Mbona umeandika imepatikana! Acha ipatikane watu waanze kwenda watupu!
 
Back
Top Bottom