#COVID19 Chanjo ya UVIKO-19 nchini bado ni hiari?

hata mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
1,356
Reaction score
1,442
Hivi chanjo ya corona hapa nchini Tanzania kwa sasa ni lazima au bado ni hiari?
 
Bado ni hiari... Lazima kwa Corona ipi iliyopo hapa nchini

Labda ukitaka kwenda nje ya nchi, maana wanataka certificate

1.Huku nilipo mama mwenye mtoto hapati huduma (mtoto hapimwi) kliniki mpaka mama huyo aoneshe cheti cha kuonesha amechanja!

Nitarudi...
 
Ndio tumefikia huku? mbona hospital zingine hazina haya mapigo?
 
Back
Top Bottom