ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Watalaam salamun.
Naombeni kujulishwa juu ya chanjo wanazochanjwa watoto wadogo sehemu mbalimbali za miili yao, ambazo huwatesa kwa kuwa huwa ni kali sana. Chanjo hizi ni universal au wazungu walitengeneza kwa ajili ya waafrika tu?
Kuna mzazi mmoja aligoma kumchanja mke wake wakati akiwa na mimba na mtoto hukuchanjwa chanjo yoyote ile kwa kuwa alitafasiri kuchanja kama kinyume na Iman yake, anasema mtu haumwi unaminga na nini? kama anaumwa atampa dawa yoyote lakini kuchanja anachukulia kama ushirikina.
Pia yeye anaamini ni mkakati wa wazungu kutumaliza kwa kutuwekea sumu ambayo baada ya mda fulani tuwe tumekufa au hatuna uwezo wa kujitawala kwa kuwa madawa hayo yanaathiri hata mfumo wa akili.
Naombeni majibu kama chanjo hizi huwa zinafanyika dunia nzima, au zililetwa kwa waafrika tu.