Channel gani Azam wanaonesha tamthiliya ya Brothers?

Kiby

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2009
Posts
6,921
Reaction score
4,683
Naomba wenye kuelewa ni chaneli ipi na mda gani kupitia king'amuzi cha Azamtv wanaonyesha tamthilia ya brothers( Cardo Dalisay) kwa tafsiri ya kiswahili?
 
Wajuzi wanakuja kwa kasi ya ajabu kukupa miongozo.

TULIA HAPO HAPO MKUU.

KaziKwelikweli/JobTrueTrue
 
Wadada wa kazi mnapenda sana hizo kitu. Na kazi huwa hamfanyi. Mimi mke wangu huwa hataki kabisa kutumia azam.
 
Ipo chini ya star times na inaoneshwa star times tu katika chanel zao ikiwemo star Swahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…