CCM WANASEMA.....SAFARI HII NI USHINDI KUZIDI ULE WA 2005.......INSPEKTA HARUN ALIKUWEPO....MARLAW...BANANA ZORRO.....ASHA BARAKA...CAPTAIN KOMBA....WANA-NGWASUMA WALISUUZA JUKWAA......TWANGA PEPETA...STONO MUSICA...JAHAZI TAARABU......WALIOMALIZIA KABISA MWANAWANE NI ......MASANJA MWAFILIKA A.K.A...A.K.K.K.A......A.k.a mkandamizaji ze komedi orijino...huku mpoki akimuiga kepteni KOMBA WAKATI KOMBA AKIANGALIA KWA MAKINI ZAIDI
Ngojeni tu wakitoa leseni Chadema tunaanzisha tv yetu na marufuku kuuza hisa ndo chanzo cha kununuliwa na mafisadi!Sio channel 10 pekee, ITV na TBC zote hazijagusia kabisa habari ya kuanguka mkulu.
Kama hali ni hiyo, uchaguzi wa mwaka huu, naweza kusema "ngoma inogile". Gazeti la Tanzania Daima nadhani ndilo pekee litatupa habari za upande wa pili.