Tetesi: Chanzo cha beef kati ya Mr. Blue na Nyandu Tozi ni uchawi (Halal Badr ya Kihindi)

Kurogana ili mtu aharibikiwe or asitimize ndoto zake ndo utamaduni wa mwafrica, mfano mzuri ni sisi wote tulipokua shule tukirudi majumbani/kupiga hatua fulani, jamii inayotuzunguka hututizama kwa jicho la husda na chuki.

Hii ni sababu ya waafrica wengi kutotimiza ndoto zao hata kama wamesoma, na ubaya wa uchawi wa aina hii haukudhuru kiafya bali unafunga riziki nakuharibu malengo.
 
Sure bro nakubaliana na ww ...achana na huyo mpuuzi asiyejielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana shinyanga wanapiga mapanga tu
 
Huu nao ni uzi au takataka tu? Hao wanzamziki wako waambie watulie tu kwanza kizazi hiki washaanza kuwasahau ,wewe umeanza kuwapa promo. Tafuta ada urudi shule mnaanzisha vi nyuzi vya ajabuajabu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa chief
Huu nao ni uzi au takataka tu? Hao wanzamziki wako waambie watulie tu kwanza kizazi hiki washaanza kuwasahau ,wewe umeanza kuwapa promo. Tafuta ada urudi shule mnaanzisha vi nyuzi vya ajabuajabu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuishi SA way back viunga vya Athlone, Mitchell's Plain na Mowbrey! Mabaharia wa Kitanga walikuwa wameishika biashara ya nyunga! Wao waliita utumiaji wa madawa kuwa ni ALBADIR YA KIHINDI wakimaanisha ngumu kwa mtumiaji kuacha! Sawa na uchawi wa kihindi ngumu kupata tiba!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly ni hatari sana
 
hao ni marafiki na kama wamepishana watapatana alfu wapambe mtabaki mnatoa macho kama palamagamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…