Habari ndiyo hiyo ikufikie popote ulipo murembo.Sikujuaga Kama wanabifu eti.
Wana bifu uchwara.Sikujuaga Kama wanabifu eti.
Kulikoni?
Kwani unateseka?Mapozi kama yote
ImeshanifikiaHabari ndiyo hiyo ikufikie popote ulipo murembo.
Aisee..ila nandy anafanya vizuri kumpotezeaWana bifu uchwara.
Gigy ni kama mbwa asiye na banda wala kamba yeye huzurura tu kila konaAisee..ila nandy anafanya vizuri kumpotezea
AiseeGigy ni kama mbwa asiye na banda wala kamba yeye huzurura tu kila kona
ππππ KwakweliGigy ni kama mbwa asiye na banda wala kamba yeye huzurura tu kila kona
Na mdogo wake ni sawa na bomba yenye koki isiyofunga maji, yeye huongea chochote bila kujali ni wakati gani na yuko na nani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwakweli
Kwa ushari Sasa khaa!!
ππππAtiii bombaNa mdogo wake ni sawa na bomba yenye koki isiyofunga maji, yeye huongea chochote bila kujali ni wakati gani na yuko na nani!
Lakini safi, yeye kaamua afanye maisha kwa mtindo huo [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atiii bomba
Yeah mwisho wa siku Ni maisha yake.Eh.. Bomba haifungi inatitirisha maji muda wote.! . Lakini safi, yeye kaamua afanye maisha kwa mtindo huo [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu hebu tujuze na huyu jamaa ni nini kinacho msibu huko mjini View attachment 1506823View attachment 1506824
HaswaaaaYeah mwisho wa siku Ni maisha yake.