Chanzo cha elimu rasmi(formal education)

Chanzo cha elimu rasmi(formal education)

username1

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
267
Reaction score
253
habari za jumapili wakuu,

naomba kuwasilisha hapa kwenu nikijua wapo wajuvi wa mambo kama akina eiyer,the bold na wengine wengi mseza mkulu.

ninajiuliza hili swala la elimu rasmi je limetoka africa au ulaya esp kwa wa wayunani na wayahudi?

inasemekana mtu wa kwanza kuanzisha elimu rasmi alikuwa socret na wanafunzi wake ni kama plato ambao waliendeleza mfumo wa kuwakusanya watu na kuwafundisha juu ya mambo ya ulimwengu huu.
bila kuasili historia inatueleza pia kuendelea kwa misri mpaka kuwepo kwa kalenda yao hii ikiwa na maana pia misri walikuwa mbele kielimu lakini je hii ni kwa waafrika au ililetwa na wayayhudi wanapokuja kuishi huko?

karibuni kwa michango yenu
 
kitabu kama ratio sturdiorum kinatoa guideline ya namna ya mifumo ya kielimu vyuoni kimeandikwa na wayunani
maswali
1. kama elimu mwanzo wake ni afrika kwanini hatuna terminilogy katka hiyo elimu ?misemo mingi ni ya kiyunani?
2. ilikuwaje bara lilikuwa mbele kitaaluma lije kutawaliwa na wanafuzni wao ijulikane tu kwamba mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake,sasa iweje hawa wazungu waje kutumia utaalamu na ujuzi toka kwetu afu watutawale?
 
Back
Top Bottom