Chanzo cha magonjwa na jinsi ya kutibu

Chanzo cha magonjwa na jinsi ya kutibu

Pelly

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
197
Reaction score
207
▪️CHANZO CHA MAGONJWA HUTOKANA NA SUMU AMBAZO ZIPO MWILINI MWETU

Sumu mwilini?
sumu ni dutu yoyote yenye uwezo wa kuharibu shughuli za seli katika mwili.

🟢 Sumu hupelekea mapungufu katika mwili kutokana na uwepo wa sumu mwilini utakumbwa na mapungufu ya madini,vitamins,homoni na vichochezi

▶️MAPUNGUFU HUPELEKEA DALILI

Dalili ni nini ?
•ni Hali yoyote inayotambulisha ugonjwa Fulani kama umefika, unakuja au utakuja..
Mf: dalili ya vidonda vya tumbo ni tumbo kuwaka moto.

🟢 JINSI YA KUTIBU
•ili uweze KUTIBU na kutokomeza ugonjwa ni lazima udili na chanzo Cha ugonjwa..

SUMU➡️MAPUNGUFU➡️DALILI➡️UGONJWA

📍📍NB: TUNASISITIZA KUANZA NA UTOAJI SUMU KWANI SUMU NDO CHANZO CHA MAGONJWA

🟩🟩 QYT TANZANIA. TUNA MASHINE ZA KISASA ZA UTOAJI SUMU ZINAZOTUMIA MFUMO WA ELECTROLYSIS NA HIVO BASI KUTOA SUMU KAMA NEGATIVE IONS MWILINI MWAKO🟩🟩

🛑 KARIBU UTOE SUMU UEPUKANE NA MAGONJWA
 
IMG-20250124-WA0013.jpg
 
Explain mechanism ya negative ions huko huko kwenye electrolysis, Ila si Kuna vyakula ama mimea mfano ukiwa unaila ama unaitengenezea chai Kila siku inatoa izo sumu, mfano chai ya majani ya mchaichai , mpera ama stafeli, gooseroot pia zinatoa sumu pia ama inakuwaje.
Lifestyle yako ya kazi na chakula ni mtaji kwa mtu mwingine ana capitalize on your bad habit of eating anything, or some foods that aren't directly from shamba
 
Clinic kwetu tunauza Dawa za virutubisho na nyingine zinaponyesha kabisa Karibu sana🙏🏼
 
Attachments

  • IMG-20250115-WA0043.jpg
    IMG-20250115-WA0043.jpg
    160.4 KB · Views: 2
▪️CHANZO CHA MAGONJWA HUTOKANA NA SUMU AMBAZO ZIPO MWILINI MWETU

Sumu mwilini?
sumu ni dutu yoyote yenye uwezo wa kuharibu shughuli za seli katika mwili.

🟢 Sumu hupelekea mapungufu katika mwili kutokana na uwepo wa sumu mwilini utakumbwa na mapungufu ya madini,vitamins,homoni na vichochezi

▶️MAPUNGUFU HUPELEKEA DALILI

Dalili ni nini ?
•ni Hali yoyote inayotambulisha ugonjwa Fulani kama umefika, unakuja au utakuja..
Mf: dalili ya vidonda vya tumbo ni tumbo kuwaka moto.

🟢 JINSI YA KUTIBU
•ili uweze KUTIBU na kutokomeza ugonjwa ni lazima udili na chanzo Cha ugonjwa..

SUMU➡️MAPUNGUFU➡️DALILI➡️UGONJWA

📍📍NB: TUNASISITIZA KUANZA NA UTOAJI SUMU KWANI SUMU NDO CHANZO CHA MAGONJWA

🟩🟩 QYT TANZANIA. TUNA MASHINE ZA KISASA ZA UTOAJI SUMU ZINAZOTUMIA MFUMO WA ELECTROLYSIS NA HIVO BASI KUTOA SUMU KAMA NEGATIVE IONS MWILINI MWAKO🟩🟩

🛑 KARIBU UTOE SUMU UEPUKANE NA MAGONJWA

Mwaka 2018 tuliwafurusha hivi kumbe bado mpo? Sawa, and wenu nguvu.
 
KU DETOX NI KUFANYA NINI?
KUDETOX ni kutoa sumu mwilini. Kuna njia nyingi sana za kudetox mwili wako
1. Njia ya kienyeji na rahisi ni hii nayo wafundisha kila asubuhi kabla hujaweka kitu tumboni kubwa maji moto na viungo navyo elekeza
2. ⁠Kuna dawa special za kutoa sumu mwilini unakuta umeandikiwa dozi ya siku 30 unakunywa usiku na mchana
3. ⁠kuna unga unauzwa special wameandika kabisa Detox 60 days unakoroga unakunywa
4. ⁠kuna tea bags coffee nazo zipo unakunywa kama chai
5. ⁠Kuna plasta wanabandika mguuni unalala asubuhi unakuta uchafu kwenye nyayo zako( sasa ni kiwango kidogo)
6. ⁠kuna hii tunaijua wengi wale wenye ugonjwa wa figo au tunawapendwa wetu wanaumwa figo DIALYSIS very expensive ehee inatutesa wengi na ndio maana nawakazania tusifike huko wapendwa wangu
7. ⁠Sasa sisi QYT CLINIC tuna mashine ya kisasa ambayo unaloweka miguu yako kwenye beseni la maji na kutoa sumu yoote mwilini kwenye beseni kwa muda mfupi. Sumu unaweza kutoa kwa siku tano au zaidi depends unawingi wa sumu kiasi gani mwilini mwako
Tena kwa bei nafuu kabisa kwa siku chache kabisa na kwa uhakika kabisa bila ya madhara yoyote
KARIBUNI QYT CLINIC IPO KINONDONI KAMA UNAENDA MWANAYAMALA KITUO KINAITWA KOMAKOMA MKABALA KABISA NA CRDB BANK MWANANYAMALA
 
Back
Top Bottom