Alloyce PR JF-Expert Member Joined Nov 15, 2020 Posts 817 Reaction score 881 Jun 26, 2025 #1 "Usaliti, umbeya, hujuma, na dhuluma ni moto wa ndani unaowasha kiu ya malipizo katika nafsi za walioumizwa, si kwa sababu wanapenda kulipiza, bali kwa sababu maumivu yao yamepuuzwa kwa muda mrefu." — Alloyce, P.R.
"Usaliti, umbeya, hujuma, na dhuluma ni moto wa ndani unaowasha kiu ya malipizo katika nafsi za walioumizwa, si kwa sababu wanapenda kulipiza, bali kwa sababu maumivu yao yamepuuzwa kwa muda mrefu." — Alloyce, P.R.