MTAMBOKITAMBO
Senior Member
- Jun 2, 2011
- 194
- 39
Wakuu ningependa kujuzwa chanzo cha maneno kama hayo yenye je mwishoni.Nasikia wengi wanatumia huo mtindo siku hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujanielewa mkuu,huu ni msemo mpya na una maana tofauti na ulijoizoea.Mfano,leo angekuja Obama Tanzania,wabongo tungepagawaje!Yaan hapo inamaanisha wangepagawa sana kupita kiasi.Sasa nataka kuja chimbuko la hii lugha.Si linatokana na "kukoma" yaani "kumaliza" .`Kwa hiyo maana moja ya neno "mngekomaje" labda ni "mngemalizaje" kwa kimombo "how would you complete/finish". Siyo?