chanzo cha mapato fifa

chanzo cha mapato fifa

TANZANNIA

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
1,047
Reaction score
385
Hili jambo limekuwa likinitatiza kidogo.utasikia fifa imetoa kiasi fulani kuendeleza soka nchi fulani au kusaidia ujenzi wa uwanja nk.je wana mradi gani?au chanzo chao cha mapato ni kipi?
 
Back
Top Bottom